Ushuhuda

Edwin Ekiring

Mtaalamu wa kucheza Badminton

Hi, jina langu ni Edwin Ekiring na ni mtaalamu wa kucheza badminton kutoka Uganda, na nina ishi nchini Uhollanzi. Kutoka hapa nimekutana na kikundi cha nguvu cha vijana wanao fanyia kazi mradi wa ajabu wa huduma ya afya utakao ifanya hii dunia kuwa sehemu nzuri. Nikiwa kama mchezaji kila siku najifunza kujua kuwa jinsi gani afya ilivyo muhimu na jinsi gani ilivyo muhimu kuwa na huduma nzuri ya afya mikononi wakati afya yako inapokuwa katika hatari. Hasa mwaka 2009, wakati nimepata ajali mbaya ya barabarani nikiwa nikiwa na baiskeli nikitokea mazoezini kwenda nyumbani ,iliyoniacha nikiwa nimevunjika mkono,mbavu, kiwiko cha mguu na goti la mguu wa kulia na madakitari wakifutilia mbali uwezekano wa mimi kuweza kuwa na nafasi ya kucheza tena michezo. Nashukuru kwa huduma ya afya ya ajabu,nilirudi uwanjani kucheza badminton ndani ya miezi nane baadae.

Katika nchi yangu Uganda mara nyingi ni vigumu kufikia huduma sahihi ya afya. Kwa hiyo ndio maana nina furaha sana kwa huduma yetu ya afya kuwekwa mtandaoni. Medx inamhamasisha kila mmoja kutia ndani wale wenye miundo mbinu michache ya huduma kupata urahisi wa ufikivu wa huduma za afya kutoka maeneo yao kwa kuwapa nafasi ya kuonana na kuwasiliana na wataalamu wa tiba ndani na nje ya mipaka chini ya mwavuli mmoja.

Mfumo huu unafanya kazi, ama kupitia vyanzo vya fedha ya gharama ya afya binafsi , au michango ya familia kutoka kokote duniani.

Jiunge nasi kwa kufanya huu mwanzo kuwa na mafanikio!

Arouna Koné

Mcheza Mpira wa Timu ya Everton na timu ya taifa ya Ivory Coast

Hi, jina langu ni Arouna Koné na mtaakamu wa kucheza mpira wa miguu kutoka Ivory Coast, ninaishi Uingereza. Nikiwa Ulaya nimekutana na kundi lenye shauku la vijana wanao fanya kazi katika mradi wa afya ambao utabidili dunia na kuwa nzuri hivi karibuni. Nikiwa kama mtaalamu wa kucheza mpira, afya yangu ni kila kitu kwangu, Si wezi kufanya chochote bila hiyo na inapo niweka chini, nina hitaji huduma bora ya afya kwa muda huo huo ili kunitibu. Nimesha wahi kupata maumivu ya goti mara tatu katika uchezaji wangu, mwaka 2006, 2008 na 2013. Kama si huduma sahihi ya matibabu na ukarabati, ajali ile ya mwisho ingemaliza uchezaji wangu. Nashukuru kwa huduma nzuri ya afya nilipona kabisa na kuweza kucheza tena mpira baada ya miezi 14. Nchi ya Ivory Coast ni nzuri sana ambako si rahisi mara zote kuweza kupata huduma sahihi na inayo hitaji sana ya afya. Kwa hiyo itakuja si kwa kushitukiza na nina unga mkono kwa kuwa sasa mfumo wetu wa huduma ya afya unawekwa kwenye mtandao.Medx inamhamasisha kila mmoja kutia ndani wale wenye miundo mbinu michache ya huduma kupata urahisi wa ufikivu wa huduma za afya kutoka maeneo yao kwa kuwapa nafasi ya kuonana na kuwasiliana na wataalamu wa tiba ndani na nje ya mipaka chini ya mwavuli mmoja.

Dr. Suleiman Kanon, MPH

CEO & Mkurugenzi muelekezi, Zamani mkuu wa HIV Porgramme, UNICEF

Napenda kuwapongeza kwa webinar yenye mafanikio na muhimu zaidi kwa mpango husika na mawazo mazuri ya mwanzisho mzuri. Medx.Care dhahiri ni mfano mkubwa wa ubunifu Afrika inahitaji siku hizi. Ninataka kukiri hii na pia kuliko hata panellist kwa ajili ya kuandaa tukio hilo. Medx.Care pamoja na webinars ya aina hii ina kwenda kuleta mapinduzi ya mazingira ya afya pamoja na upashanaji habari miongoni mwa wataalamu, lakini pia kutokana na yale niliyosikia kutoka kwa mwanzilishi, utoaji huduma za afya kuchukua faida mpya ya ubunifu na teknolojia

Na tazama mbele kuana kuwa wataalamu wengi wanajihusisha na kujiandikisha kuwa sehemu ya hii jamii mpya ambayo sasa mnaibuni, jamii yakufanya taarifa kuwa ya wakati huu, kujua jinsi na ujuzi unaopatikana na una nafuu si tu kwa wataalamu lakini pia kwa yeyote anayehitaji .

Bahati njema na mara nyingine tena, chapeau, endeleeni

JOSEPH NDO

Mkufunzi wa Mpira

Hi, jina langu ni Joseph Ndo. Mimi ni mkufunzi wa mpira kutokaCameroon, kwa sasa naishi Ireland. Siku zote kumekuwa na mjadala kati ya zuri na baya, Upendo na chuki, kucheka na kilio, furaha na huzuni, lakini jambo moja sisi wote tunakubaliana juu yake nalo ni afya.

Dunia imejaa mateso na maumivu. Nikiwa natoka Cameroon, kwa ukweli nafurahia kile ambacho wazo la MEDx eHealthCenter litasaidia watu. Ndio, hili ni wazo kubwa kwa watu kama wewe, mimi, familia, marafiki... Sisi. Kwa kuingiza kwenye mtandao huduma za afya zetu, inakuwa rahisi zaidi, ufanisi zaidi na bora zaidi kwa kupata huduma za afya, achilia mbali muda na mahali.

Jukwaa la MEDx eHealthCenter linatupatia nafasi na njia ya kuwasiliana na kuonana na wataalamu wa matibabu kutoka ndani na nje ya mipaka yetu kijiografia, chini ya mwavuli mmoja. Inaweza kusikika déjà vu, lakini motisha katika moyo wa MEDx eHealthCenter unaleta tofauti kivyake. Mradi huu unaleta upendo kwa wengine ndani ya moyo wake. Shauku na hamu ya upendo wa jirani zake.

Mfumo huu unafanya kazi, ama kupitia vyanzo vya fedha ya gharama ya afya binafsi , au michango ya familia kutoka kokote duniani. Naamini kuwa pamoja tukiwa saidia watatusaidia.

Jiunge nasi kufanya huu mradi uwe na mafanikio