FAQ

Ni Kuwa #1 digitali hospitali ambayo inatoa athari kwenye huduma za afya na taaluma ya kuboresha maisha kwenye masoko yaliyo kua na yanayo kua ifikapo 2025.

Kuongeza uwezo wa kiafya na kimatibabu na fursa kwenye na masoko yanayo kua

Kwa sababu ya uzoefu binafsi wa moja ya mwanzishaji! Tulikuwa karibu tumpoteze Laetitia kwa sababu ya utambuzi usio sahihi. Alikuwa anatibiwa ugonjwa wa matumbo(Typhoid), lakini aliugua Malaria. Masaa kadhaa baada ya kuanza matibabu ya Typhoid, mwili wake uliitikia madawa vibaya katika madakitari walio kuwepo hapo hakuna aliye jua kwa nini hiyo imetokea. Bahati nzuri tulimjua mkunga mmoja wa jirani mwenye sifa nzuri ya matibabu. Tukampata na aliweza kuingilia kati na kuhakikisha kuwa utambuzi sahihi na madawa sahihi yametolewa, ambayo yalisaidia kubadili hali ya mgonjwa. Hili tukio moja linaongea mambo mengi muhimu kuhusu mfumo mzima wa huduma za matibabu ya kijamiihi. Baada ya utafiti zaidi tuligundua kuwa hili ni tatizo linalo zipata nchi zote zinazo endelea.

Tunafanya kazi kwa bidii kuwa na huduma ya vituo vya afya,huduma ya dispensali na huduma za hospitali zikihusishwa kwenye misingi iliyopo sasa. Tunategemea kuwa na uendeshaji ulio kamilika ifikapo 2017.

Tunawalenga

 1. Kila mmoja anaye hitaji huduma toka kwenye masoko yanayo kuwa
 2. Madakitari wataalamu toka kwenye masoko yanayo kuwa
 3. Madakitari wataalamu toka masoko yaliyo kuwa
 4. Diaspora au yoyote ambaye analipia matibabu ya ndugu zake

Sisi ni jukwaa linalo hudumia uhitaji wa taaluma ya muundo wa matibabu kwa pamoja na uwezeshaji wa kuweka bei na uwezeshaji wa muundo wa malipo ili kuokoa maisha ya mmoja mmoja na familia kwenye ulimwengu unao jitokeza.

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii

Bonyeza kwenye linki chini inayoelezea mchakato. Ni rahisi kama:

 1. Jisajiri
 2. Ingia
 3. Jaza akaunti yako na vielelezo vya familia yako
 4. Tayari unaweza kuanza kuwasiliana na matabibu wanataaluma (Tafuta, weka ahadi, lipia au ulizia ndugu wakulipie na mwache dakitari wako atunze kumbukumbu zako kwenye jalada lako)
 1. Ni wewe peke yako ndio unaweza kuingia kwenye akaunti yako
 2. Ndugu ulio wahusisha kwenye akaunti yako, wanaweza kuangalia ahadi zao na taarifa za historia ya matibabu yao.

Kwa sasa tuna aina tatu ya miundo ya malipo kwa ankara za matibabu:

 1. kutunza bajeti ya familia ya huduma za afya ambayo inaweza kutumika mahali popote kwenye mtandao duniani.
 2. Kulipia ankara za matibabu mtandaoni, binafsi.
 3. Kuomba ndugu sehemu yoyote duniani kukulipia ankara yako mtandaoni.

GP (General Practitioners) na wataalamu wengi ambao wapo kwenye jukwaa letu.

Matukio ya kitiba ya kitaifa na kimataifa,vichapisho vinavyo elezea mada za magonjwa, madawa,migogoro ya kitiba na tafiti za karibuni na ukuzwaji wake.

Kila mmoja anaweza kuandaa vichapisho, matukio na kushirikisha wengine.

Kama ukiwa ndugu ya:

 1. Watoto wenye ugonjwa wa kudumu.
 2. Ndugu ya mgonjwa mwenye matatizo ya akili.
 3. Mgonjwa aliye pata kiharusi.
 4. Mtafuta huduma ambaye hana ujuzi wa mtandao.
 5. Mtafuta huduma asiye na fedha ya kutosha. Jukwaa hili lina faida kwa kuwa na athari chanya kwa wanafamilia wako kwa maarifa, kifedha na kusaidia mtizamo wa kitiba.

Unaweza mara zote kutumia jukwaa kwa kusaidia ndugu kwa maarifa, kifedha,na huduma za kimatibabu

Kwa kuwa nchi nyingi zinatumia malipo ya hapo kwa hapo ya matibabu( Bila malipo - Hakuna matibabu). Hii inafanya kila mmoja anaweza kuchangia muda wowote na mahali popote. Tumeuandaa huu mchakato ili kuhakikisha kila mmoja anaweza kupata matibabu muda wote.

Mchakato ni rahisi kwa kubonyeza kwe MEDx salio na kuongeza fedha au kuuliza ndugu kukulipia kila mwezi au kila juma.

Kwa sasa tunatoa ushauri wa kiafya unao husu mwili na kuulizia ushauri wa pili kwa mbali. Tumepanga kutoa ushauri kupitia maandiko na video muda ujao

Ndio unaweza. Mfumo wetu upo salama. Hata hivyo tunakushauri kila mara uwe makini na mtu unaye mpa taarifa zako. Dakitari wako kila mara atahitaji ruhusa yako kabla hajatumia taarifa ya tiba zako.

Hapana, Lazima wapate kibali chako kabla hawaja tumia taarifa zako

Tafadhali, tumia chumba cha maongezi mtandaoni( chat room) au tumia fomu ya kuwasiliana nasi iliyopo kwenye mtandao

 1. Wasiliana nasi kwenyeinfo@medx.care
 2. Tafadhali kusanya taarifa za kutosha kabla ya huja jibu maswali yafuatayo kwenye mahojiano ya kupewa hiyo kazi.
  • Soko lako lina ukubwa gani (Idadi ya watu, Diaspora, Wataka huduma kwa kila kundi, idadi ya wataalamu wa tiba kwa eneo lako)?
  • Ni kiasi gani cha pato la taifa hutumika kwenye huduma za afya?
  • Ni kiasi gani cha watu hutumia bima ya afya?
  • Ni jinsi gani huduma ya afya imepangiliwa?
  • Ni jinsi gani huduma ya afya imepangiliwa katika sekita binafsi?
  • Je mfumo wa afya wa kiserikali na kibinafsi umesha ingizwa mtandaoni?
  • Kama ndio, umefikia asilimia ngapi na bado kiasi gani?
  • Jinsi gani watoa huduma wanaweza kujisikia kama kutakuwa na mfumo wa kuwa kuza?
  • Jinsi gani watoa huduma watajisikia kama kutakuwa na mfumo wa kupanga malipo kutoka duniani kote?
  • Jinsi gani watoa huduma watajisikia kama kutakuwa na mfumo wa kupokea historia ya matibabu ya wagonjwa kuja kwao?
  • Jinsi gani watoa huduma watajisikia kama watakuwa na mfumo wa kuomba wazo la pili la kitaalamu la kitiba toka kote duniani?
  • Je wenyeji wapo tayari kutumia jukwaa la kidigitali kwa kutunza huduma zao za afya na za familia zao?
  • Je wenyeji wapo tayari kuulizia wazo jipya toka kwa watoa huduma za afya ughaibuni?
 1. Wasiliana nasi kupitiahuman.resources@medx.care

Tafadhali husisha:

 1. CV (Ikiwemo VOIP vielelezo, Ikiwemo MBTI vielelezo) kwa maongezi ya kukupokea.
 2. Barua ya kitia moyo au video (Elezea lengo lako katika maisha na nini kilicho kusukuma).

Rahisi kwa kuunda jalada la mtoa huduma kwa kujiunga kama mtoa huduma (hakikisha kuwa huja jiunga kama mtafuta huduma).

Unaweza kutumia mfumo wetu wa kutafuta; huu upo upande wa juu wa ukurasa.

Mara moja ukurasa unao takiwa wa wataalamu wa tiba unapofunguka: chagua fanya ahadi, halafu fuata maelekezo mpaka ahadi yako imewekwa kwenye historia ya ahadi.

Hapa. Ahadi zilizoko kwenye historia ya ahadi inamaana kuwa kuna nafasi kwenye kalenda ya wataalamu wa tiba, pia inamaana kuwa mtafuta huduma au ndugu zake wamesha lipia gharama zake za matibabu.

Ndio, wote muda wote wanaweza kuhairisha; lakini soma utaratibu wetu wa kuhairisha ili kuleta maelewano kwa pande zote' haki zenu Taratibu za kuhairisha

Ndio. Tuna wahamasisha rika kwa rika kushirikisha maarifa yao. Tafadhali jisikie huru kushirikisha wazo na maoni ya kitiba au matukio yanayo endelea kukuzunguka.

Hii ni rahisi kama kuchagua mtoa huduma na kuwasilisha maombi kutoka kwa mtoa huduma kama maoni ya pili na sio ushauri. Kumbuka mara kwa mara kushirikisha taarifa zako za tiba na historia ya ushauri kabla huja kutana na mtoa huduma wa maoni ya pili.

MEDx wanatumia IBM program na ni imara kwa mazingira ya kuhakikisha usalama na kasi kwa watumiaji wetu.